GET /api/v0.1/hansard/entries/1375926/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1375926,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1375926/?format=api",
    "text_counter": 60,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Endebess, UDA",
    "speaker_title": "Hon. (Dr) Robert Pukose",
    "speaker": null,
    "content": "Kwa hivyo, wazee hawa wanatusaidia kwa namna moja au nyingine. Pia, wanaweza kuzimamia huduma muhimu za Serikali kama vile kupeana vitambulisho, mikutano ya maendeleo, na mikutano ya public participation . Wazee wa vijiji ndio wanaokusanya watu wa viijiji vyao na kuwapa taarifa ndiposa wanavijiji wanajitokeza kwa wingi. Hata kukiwa na mkurupuko wa ugonjwa, wazee wa vijiji ndio wanaopeana ripoti kuwa kuna ugonjwa katika sehemu fulani. Wazee wa vijiji ndio wanaojua kuwa ni mama fulani anayetengeneza pombe nzuri au mbaya. Kwa hivyo, ni vizuri tuwatambue na kuwapa marupurupu ili waweze kujikimu kimaisha. Naunga mkono Mswada huu."
}