GET /api/v0.1/hansard/entries/1375946/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1375946,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1375946/?format=api",
"text_counter": 80,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nairobi City County, ODM",
"speaker_title": "Mhe. Esther Passaris",
"speaker": null,
"content": " Ahsante sana, Mhe. Spika wa Muda. Nasimama kuunga mkono Mswada huu ambao umeletwa na Mhe. Malulu Injendi. Unapendekeza tuwaheshimu wazee. Nchi ikitaka kwenda mbele, lazima iwaheshimu wazee wake. Wazee wamepitia mambo mengi maishani mwao na sisi tuna elimu tu. Kwa hivyo, lazima tuwasikilize ili watueleze mambo ambayo hatuelewi."
}