GET /api/v0.1/hansard/entries/1375947/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1375947,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1375947/?format=api",
"text_counter": 81,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nairobi City County, ODM",
"speaker_title": "Mhe. Esther Passaris",
"speaker": null,
"content": "Vijana wetu wakienda kupashwa tohara huwa tunawaita wazee ili watuambie mila zetu za zamani na kutuwezesha kuwapeleka vijana wetu kwenye mstari wa mbele. Hata sasa hivi, tukitaka kumaliza ukeketaji wa wanawake nchini, tutawaita wazee ili tuwaambie hiyo desturi ni mbaya. Pia tunawatambua kwa kazi wanayofanya kama raia wa Kenya. Tunahitaji The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor"
}