GET /api/v0.1/hansard/entries/1375948/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1375948,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1375948/?format=api",
"text_counter": 82,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nairobi City County, ODM",
"speaker_title": "Mhe. Esther Passaris",
"speaker": null,
"content": "kuwatambua na kuwapa pesa ili waweze kutupa ujuzi walionao kutoka kwa yale wamepitia maishani. Tunajua kuwa nchi hupotea watu wasipowasikiliza wazee wao. Lazima tuwaheshimu na nawapongeza sana…"
}