GET /api/v0.1/hansard/entries/1375997/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1375997,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1375997/?format=api",
"text_counter": 131,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa Kaunti, ODM",
"speaker_title": "Mhe. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": " Ahsante sana, Mhe. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii ili nichangie mjadala huu wa leo. Ni mjadala mzuri sana ambao umeleta marekebisho ya kuwapatia nafasi wale watoto wetu ambao wamesomea na wamebobea katika nyanja tofauti, ili nao wapatiwe nafasi ya kazi na watu ambao wana uzee, watu wazima wa miaka 60."
}