GET /api/v0.1/hansard/entries/1376014/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1376014,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1376014/?format=api",
    "text_counter": 148,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Juja, UDA",
    "speaker_title": "Hon. George Koimburi",
    "speaker": null,
    "content": " Ahsante sana Naibu Spika wa Muda, kwa kunipatia nafasi ili nichangie Mswada huu uliyoletwa na Mhe. Mejjadonk ambao unahusiana na watu ambao wametimia miaka ya kustaafu ambayo kwa sheria ni miaka 60. Wafanyi kazi wengi hawafaidiki kwa uzoefu wa kufunzwa au kwa mazoefu ya wale wafanyikazi wakongwe ambao wakati wao wa kustaafu umekaribia. Ningependa kuwahimiza wafanyi kazi wote kuwa wanapokaribia miaka 40, wakiona wakubwa wao wanakaribia miaka ya kustaafu, wawe na umakini wa kuelewa vile kazi inavyofanyika pale. Wachukue nafasi hio wafunzwe na wale wanaokaribia kustaafu. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor"
}