GET /api/v0.1/hansard/entries/1376015/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1376015,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1376015/?format=api",
    "text_counter": 149,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Juja, UDA",
    "speaker_title": "Hon. George Koimburi",
    "speaker": null,
    "content": "Wazeee ambao wamestaafu wamekuwa na shida kubwa kule mashinani. Tunaomba Serikali yetu iwape hao wazee pensheni yao kwa wakati unaofaa maana hawaipati kwa wakati unaofaa. Mtu anapostaafu, hali yake ya kiafya pia inaanza kudidimia. Atahitaji dawa, mavazi na chakula cha kumpa nguvu ili aendelee na maisha yake. Ningesihi pia kuwa kila mmoja akifikisha miaka 40 kazini inafaa aongezewe mshahara. Hili ni jambo muhimu ambalo linafaa kuzingatiwa na Serikali yetu tukufu. Ahsante."
}