GET /api/v0.1/hansard/entries/1376274/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1376274,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1376274/?format=api",
    "text_counter": 159,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mwaruma",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13223,
        "legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
        "slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
    },
    "content": "Asante Bw. Spika kwa kunipa fursa hii ili nichangie hii Ripoti ya National Dialogue Committee (NADCO ). Kwanza, nawapa shukrani viongozi wetu wa pande zote mbili, Rais na Kiongozi wa Upinzani, Mhe. Raila Amollo Odinga, kwa kukubali ya kwamba ni vyema kuwe na kamati ya kukutana ili mazungumzo yafanywe. Mheshimiwa Spika, si mara ya kwanza sisi kujipata katika hali ya kuzungumza ili kuhakikisha kwamba Kenya inasonga mbele. Wakati wa kwanza kuwa na mazungumzo kama haya ni mwaka wa 1997 na iliitwa Ufungamano Initiative . Ni wakati tulifanya"
}