GET /api/v0.1/hansard/entries/1376278/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1376278,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1376278/?format=api",
    "text_counter": 163,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mwaruma",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13223,
        "legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
        "slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
    },
    "content": ", walisema kuna mambo yatakayosulihishwa au mapendekezo yatakayotekelezwa kwa kubadilisha Katiba, na mengine yatatekelezwa kwa kuunda sera na sheria za kuhakikisha kwamba mapendekezo ambayo yamejitokeza yatatekelezwa. Mheshimiwa Spika, la kwanza ni mambo ya upigaji kura, electoral justice kwa kizungu. Kulipendekezwa ya kwamba uchunguzi ufanywe ya vile kura ilivyoenda. Nashukuru kwa hilo pendekezo kwa sababu tukishafanya uhasibu wa vile kura ilipigwa, tutajua ukweli wa vile mambo yaliendelea. La pili ambalo linafanya niunge mkono Ripoti hii ni mambo ya kuweka National"
}