GET /api/v0.1/hansard/entries/1376282/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1376282,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1376282/?format=api",
"text_counter": 167,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mwaruma",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13223,
"legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
"slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
},
"content": "Kericho na Kisumu, maswala haya ni nyeti sana. Nafikiri hii Kamati isaidiane na Bunge au Bunge itekeleze mswada wa County Boundaries Act ambao itaangazia mambo ya kusuluhisha mambo ya mipaka ya counties kwa sababu ni swala sugu na wakati mwingine swala hili huleta maafa. Lingine lililojitokeza katika ule mchakato wote wa NADCO ni kwamba kuna maeneo Bunge inayoitwa kwa kizungu saved constituencies kwa sababu idadi yake haijafikia ile idadi ya watu kwa maeneo Bunge. Kwa mfano Kaunti ya Taita Taveta ina maeneo Bunge kadhaa ambayo haijafikisha ile nambari. Katika kutekeleza mapendekezo ya ripoti hii, inatakikana zile constituencies ndogo ndogo zihifadhiwe na zile constituencies ambazo zina watu wengi ipewe"
}