GET /api/v0.1/hansard/entries/1376284/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1376284,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1376284/?format=api",
    "text_counter": 169,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mwaruma",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13223,
        "legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
        "slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
    },
    "content": "zaidi ili kuhakikisha kwamba constituencies hazipungui kulingana na Kipengee cha 189 cha Katiba. Ni kweli kwamba kuna constituencies ambazo ni kubwa na zingine ndogo ila kwa sababu zile hazina CDF, imeleta pesa mingi sana kwa magatuzi, sio vizuri zile constituencies kupunguzwa. Mheshimiwa Spika, mengine yaliyojitokeza ni kwamba kuna rasilmali ambazo ziko kwa counties na county zingine hazifaidi kutokana na hizo rasilmali. Kwa mfano, kuna mbuga za wanyama Taita Taveta ambayo asilimia 62 ya Taita-Taveta iko katika Tsavo National Park . Nashukuru kwa sababu kuna wakati Rais alitembea kule Taita Taveta na akasema ni vyema kuwe na mgao wa hamsini kwa hamsini kwa yale makusanyo ya Tsavo National Park . Lakini, hadi sasa hilo halijatekelezwa. Katika kutekeleza ripoti hii, nafikiri kutakuwa na msukumo fulani ili kaunti zote zifaidi kutokana na rasilmali zao ambazo ziko kaunti zao. Mfano kule Narok kuna Maasai Mara National Park ambayo inafaidi Narok County, Kajiado kuna Amboseli NationalPark na Rais juzi alisema kwamba Amboseli ifaidi watu wa Kajiado. Saa hii katika huu mchakato, sisi tunasukuma kwamba Tsavo National Park ifaidi mtu wa Taita-Taveta moja kwa moja. Na katika ule mchakato wa kuangalia vigezo vya kugawanya ushuru katika"
}