GET /api/v0.1/hansard/entries/1376286/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1376286,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1376286/?format=api",
    "text_counter": 171,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mwaruma",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13223,
        "legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
        "slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
    },
    "content": "au revenue sharing formula ambayo inakuja mwaka wa 2025, tutasukuma na kuhimiza wenzangu pia watuunge mkono ili kuwe na kigezo ya kuhakikisha kwamba zile rasilmali ambazo ziko katika kaunti, pia zile pesa inayokusanywa kutoka zile resources imefaidi au imewekwa kama kigezo cha kugawanya ushuru ambao unaenda kwa kaunti zetu; inaitwa sharable revenue ."
}