GET /api/v0.1/hansard/entries/1376356/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1376356,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1376356/?format=api",
"text_counter": 241,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Wakenya waliouwawa katika maandamano walisaidika vipi na mapendekezo haya tunayoleta hapa? Tutawaambia nini? Mali yao itaregeshwa vipi? Ni vizuri tunene ukweli na sio kuficha ukweli kwa kusema mengi. Walakini ilileta utulivu. Mswahili alisema wengi wape. Naunga mkono Ripoti hii. Lakini, isiwe naimsingi ambao utakuwa wa madhara kwetu."
}