GET /api/v0.1/hansard/entries/1377449/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1377449,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1377449/?format=api",
"text_counter": 909,
"type": "speech",
"speaker_name": "Matuga, ANC",
"speaker_title": "Mhe. Kassim Tandaza",
"speaker": null,
"content": " Asante Mhe. Mwenyekiti wa Muda. Ni jambo muhimu kwamba hizi nyumba ziweze kushughulikiwa. Sio kwa wale tu ambao wanafanya kazi ila pia kwa wale ambao hawana kazi haswa ilivyotangulizwa kwa watoto wa shule. Katika Kwale Kaunti kuna kituo cha Technical University cha Mombasa kule Mabokoni, lakini kwa miaka minne kimeshindwa kupata wanafunzi kwa sababu hakuna nyumba za wao kuweza kuishi pale. Kwa hivyo mfumo huu moja kwa moja utawezesha sehemu mbali mbali za Kenya kuweza kukua kwa kuwa kutakuwa na makaazi mema."
}