GET /api/v0.1/hansard/entries/1377742/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1377742,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1377742/?format=api",
"text_counter": 1202,
"type": "speech",
"speaker_name": "Matuga, ANC",
"speaker_title": "Hon. Kassim Tandaza",
"speaker": null,
"content": " Ahsante sana Mhe. Mwenyekiti wa Muda. Ninaunga mkono hayo marekebisho kwa sababu kwetu jamii ya kiislamu sio kwamba ni haramu lakini ni dhambi kubwa ikija wakati wa kutoa ama kupokea riba. Ninaiunga mkono ili jamii yote ya waislamu pia nayo iweze kunufaika na huu mradi wa nyumba. Nikilizungumzia, ninajua kama sehemu za Pwani nyumba zinajengwa. Wengi ni waislamu na wangependa kuchukua hizi nyumba. Ninaunga mkono hoja hiyo, kwamba swala la riba lisiguse waislamu; wawe na nafasi ya kuchukua kwa njia nyingine. Ahsante."
}