GET /api/v0.1/hansard/entries/1378635/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1378635,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1378635/?format=api",
"text_counter": 291,
"type": "speech",
"speaker_name": "Ganze, PAA",
"speaker_title": "Hon. Kenneth Tungule",
"speaker": null,
"content": "Hii Ripoti inagusia mambo ya madeni. Ni ukweli kabisa kwamba hii Serikali ina madeni mengi sana. Nikisema madeni namaanisha zile pending bills . Kuna watu wanaumia kule nje kwa sababu wametoa huduma kwa hii Serikali lakini wamekaa miaka nyingi bila kulipwa. Kuna wale ambao wamekuwa auctioned, wale wamefungwa kwa sababu pengine walikuwa wamekopa pesa mahali halafu hawakuweza kulipa, na kuna wale ambao biashara zao zimetatizika kiasi kikubwa. Ni kwa sababu walitoa huduma kwa Serikali na hawajalipwa. Suala hili halijatatiza national Government peke yake bali hata mashirika mengine ya ki- Serikali na county Governments. Najua watu wawili au watatu ambao wamepoteza mali yao yote kwa sababu ya kuwa"
}