GET /api/v0.1/hansard/entries/1378646/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1378646,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1378646/?format=api",
"text_counter": 302,
"type": "speech",
"speaker_name": "Ganze, PAA",
"speaker_title": "Hon. Kenneth Tungule",
"speaker": null,
"content": "ama kuona na kurekebisha. Ni lazima tuhakikishe kuwa internal audit departments zinakuwa empowered vizuri kama tunataka kumaliza ufisadi ndani ya idara za Serikali na ndani ya Serikali yetu yote. Tukifanya hivyo, nina hakika hata external auditor atakuwa na kazi rahisi kwa sababu ripoti za internal audits already zitamwambia matatizo yaliyoko. Inakuwa haraka kwake kufanya kazi yake na mambo yanakuwa rahisi. Nataka kukomea hapo nikisema ninaunga mkono hii Ripoti. Naipongeza Kamati iliyohusika kufanya kazi iliyo kuntu kabisa. Ahsanteni sana."
}