GET /api/v0.1/hansard/entries/1378663/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1378663,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1378663/?format=api",
"text_counter": 319,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu East",
"speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
"speaker": null,
"content": "Mhe. Spika wa Muda, kuna kijiji kama Faza, pia kimejengwa vya kusikitisha. Kwa nini mradi usijengwe kikamilifu ili watu wapate kusaidika? Utaona kila kijiji miradi ni nusu, na haijakamilika na wananchi wanasumbuka. Ile nusu iliojengwa haisaidii. Ikikamilishwa ndio itasaidia. Itakuwa ni muhimu hata hii Kamati ya Utekelezaji izunguke Kenya na iangalie hiyo miradi ambayo Ripoti inaangazia kuwa haijakamilika."
}