GET /api/v0.1/hansard/entries/1378666/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1378666,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1378666/?format=api",
    "text_counter": 322,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East",
    "speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
    "speaker": null,
    "content": "Kwa mfano, ni kama upande wa utalii. Pesa zinapelekwa sehemu nyingine hadi unashangaa. Ukiangalia katika Bajeti, pesa zinaenda kwa utalii katika sehemu hakuna utalii. Ukiangalia Lamu, kuna mambo mengi yanayoweza kuvutia utalii wetu na watalii waje wengi. Lakini kwa kuwa hakuna waziri huko, basi pesa haiendi kule ili kuvuta watalii waje wengi. Sisi Lamu, tuna sehemu nyingi ambazo zinaweza kuvutia utalii. Kuna sehemu unaweza kwenda na usahau kurudi kwenu na nyingine unaweza angalia dolphins . Kuna sehemu Lamu pekee unaweza ukaenda asubuhi kwa bahari huko deep sea fishing na mchana au jioni ukaenda The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor"
}