GET /api/v0.1/hansard/entries/1378667/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1378667,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1378667/?format=api",
"text_counter": 323,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu East",
"speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
"speaker": null,
"content": "kuangalia wanyama wanaogelea, na ni kweli kuna wanyama kama simba wanaogelea. Kwa vile ni lazima wavuke zile creeks. Kwa vile hatuna watu wetu kule, utalii kwetu hauinuki. Hii ni kwa sababu watu walioko pale wanafikiria kwao tu na sio kama Wakenya."
}