GET /api/v0.1/hansard/entries/1378923/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1378923,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1378923/?format=api",
    "text_counter": 29,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13585,
        "legal_name": "Murango James Kamau",
        "slug": "murango-james-kamau"
    },
    "content": "2023/2024. Kwa hivyo, haijaendelea na mipango ya kupeana maji katika Kaunti nilizotaja. Swali la pili ni kuhusu barua niliyoandikia Waziri kuhusu Kibirigwi Farmers’ Cooperative Society . Ili tupate usalama wa chakula nchini lazima tupeane huduma kwenye maeneo yanayokuza chakula. Waziri, je kuna mipango ya kufufua Kibirigwi Farmers’ Cooperative Society ili waendelee kuzalisha chakula katika eneo la Ndia, Kirinyaga Kaunti? Pia, Thiba Dam ilipotengenezwa, wakaazi wa Kajarara walifaa kupewa maji. Je, kuna mipango yoyote ya kupea hawa wananchi maji?"
}