GET /api/v0.1/hansard/entries/1379054/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1379054,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1379054/?format=api",
"text_counter": 160,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Swali langu ni kwa Waziri wa Kilimo na Maendeleo ya Mifugo. Katika Kaunti ya Embu, Mbeere North, Mbeere South na Manyatta, kuna Karibu Kata 12 zinashughulika na ukulima wa maembe. Maembe yako katika ukulima. Ukulima ni njia moja ya kumaliza njaa nchini. Kama kuna uwezo wowote, ningeomba kama kuna mipango ndani ya wizara yako ya kusaidia wakulima mashine ya kukausha maembe na kutengeneza juice kwa sababu ya valueaddition. Hiyo mashine inaweza kusaidia kaunti zile zinazohusika na mambo ya kilimo, mojawapo ikiwa Kaunti ya Embu. Asante."
}