GET /api/v0.1/hansard/entries/1379062/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1379062,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1379062/?format=api",
    "text_counter": 168,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Linturi",
    "speaker_title": "The Cabinet Secretary for Agriculture and Livestock Development",
    "speaker": {
        "id": 69,
        "legal_name": "Franklin Mithika Linturi",
        "slug": "franklin-linturi"
    },
    "content": "wenu. Hii ni kwa sababu tunatekeleza mipango hii tukishirikiana na watu wa kaunti, waangazie value chain yetu ni ya maembe au machungwa, tuweze kupeleka zile pesa tulizonazo hapo. Jana, nimeweka matangazo kwa gazeti kutafuta washauri wale wataweza kutupatia ripoti vile tutaweza kuendelea na mpangilio huu. Kufikia Tarehe mosi Julai, huu mpango utakuwa unaendelea. Kwa vile ninyi ni viongozi wa Bunge, ninyi ndio mnaongoza kaunti. Tutatengeza mpango huu katika kaunti zote za Kenya. Hii ni kwa sababu tulisema mwito wetu ni"
}