GET /api/v0.1/hansard/entries/1379064/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1379064,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1379064/?format=api",
    "text_counter": 170,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Linturi",
    "speaker_title": "The Cabinet Secretary for Agriculture and Livestock Development",
    "speaker": {
        "id": 69,
        "legal_name": "Franklin Mithika Linturi",
        "slug": "franklin-linturi"
    },
    "content": "kusaidia uzalishaji na agro processing ili tuweze kurefusha shelf life ya mimea au vyakula vyetu ili visiharibike. This is the opportunity. Sen. Munyi Mundigi, wapange watu wako. Pesa ziko. Tutajipanga vile tutaweze kuwasaidia ndugu zetu wa kule Mbeere North na pia wale wengine wote ambao wangetaka mambo kama haya yafanyike kusaidia different value chains ikitegemea na ile kaunti uliyopo na kile unachokuza. Tuko tayari kushirikiana na viongozi tufanye hayo maneno."
}