GET /api/v0.1/hansard/entries/1379117/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1379117,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1379117/?format=api",
    "text_counter": 223,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Linturi",
    "speaker_title": "The Cabinet Secretary for Agriculture and Livestock Development",
    "speaker": {
        "id": 69,
        "legal_name": "Franklin Mithika Linturi",
        "slug": "franklin-linturi"
    },
    "content": " Bw. Naibu Spika, ni kweli kwamba shida ya konokono ni suala sugu upande wa Mwea. Nawashukuru watu wa Mwea kwa sababu walipanda mpunga msimu uliopita na tani tulizopata zimeongezeka. Hili ni suala nitakalolishughulikia. Siku ya Ijumaa nitakuwa Mwea saa tatu ya asubuhi, halafu nielekee Embu kwa"
}