GET /api/v0.1/hansard/entries/1379695/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1379695,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1379695/?format=api",
    "text_counter": 91,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": " Asante, Mhe. Naibu Spika, kwa kunipatia nafasi ya kuchangia Mswada huu. Ninaunga mkono moja kwa moja. Ninamshukuru Mhe. Mejjadonk Benjamin kwa kuleta Mswada huu. Ninaunga mkono wafanyakazi wa serikali wote wastaafu wakiwa na miaka 60. Sasa, Waziri ama wakubwa wa Serikali wana haki ya kuongeza wafanyakazi mwaka mmoja, miwili mpaka miaka mitano. Hii inadhulumu wengine."
}