GET /api/v0.1/hansard/entries/1379696/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1379696,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1379696/?format=api",
    "text_counter": 92,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": "Watu wangu wa Msitu wa Boni, Kiunga, Faza Ward na Mtangawanda ambao hawajui watu wakubwa serikalini hawapati nafasi hizi. Kwa hivyo, huu Mswada ukipitishwa, itakuwa haki. Kama mwalimu wa kule Kiunga anastaafu akifikisha miaka 60, wale wa huku wanaojua watu wakubwa Serikalini wastaafu wakifikisha miaka 60 pia. Lakini, sio kwa kuwa anajua mtu, basi yeye ndio anaongezewa miaka. Ninaunga mkono sana Mswada huu. Wakenya wote wastaafu wakifikisha miaka 60."
}