GET /api/v0.1/hansard/entries/1379805/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1379805,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1379805/?format=api",
"text_counter": 201,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": "leo Bungeni. Pamba iliweza kupandwa mwanzo katika sehemu za Pwani. Hapo ni mwaka wa 1830. Pamba imekuwa bidhaa adhimu sana ambayo ina mapato mazuri sana kuleta katika Taifa letu. Mimi ninapenda kupigia pono mjadala huu wa leo nikisema tupatiane nafasi hii pamba iweze kukuzwa sehemu zote za taifa. Ilikuwa yakuzwa Lamu kama vile Mheshimiwa wa Msambweni amesema na sehemu nyingine za Pwani. Pamba kando na kutengeneza materials za nguo, sisi twaenda kuchukua sehemu zingine za nje. Imefufua viwanda vyetu. Tunataka viwanda vya Rivatex na KICOMI vifufuliwe. Twamuomba Rais pia atujengee pale Dongo Kundu kwa Special Economic Zone kiwanda cha kutengeneza pamba. Kando na hiyo, pia imeongeza ajira kwa watoto wetu ndani ya Taifa hili manaake"
}