GET /api/v0.1/hansard/entries/1379808/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1379808,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1379808/?format=api",
"text_counter": 204,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": "Ninampongeza sana Mhe. Emaase maanake ninayaona mambo yanaenda vizuri. Kama mama kaunti wa Mombasa, ninaomba kwa heshima kwamba watujengee ile Special EconomicZone Mombasa. Hii ni kwa sababu hata sisi pia ni wakulima wa pamba. Itatuwezesha kupanda na kuwaajiri watoto wetu."
}