GET /api/v0.1/hansard/entries/1379809/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1379809,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1379809/?format=api",
    "text_counter": 205,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": "Ninamshukuru Rais kwa kufungua ile ya kule Msambweni. Kama alivyosema ndugu yangu, panapo sifa hupewa sifa. Ikiwa Rais anafanya kazi vizuri, mimi mama Zamzam sina budi ila kumpongeza. Leo ninampongeza kwa sababu akienda kutufungulia mradi ule, utakuwa unashika watoto wetu wa Pwani. Ni mradi ambao utaleta ajira na mazao mazuri katika mkoa wetu wa Pwani."
}