GET /api/v0.1/hansard/entries/1379936/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1379936,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1379936/?format=api",
"text_counter": 116,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": " Bw. Spika, ningependa kuunga mkono Taarifa hii iliyoletwa hapa na Sen. Wakili Sigei, Seneta wa Kaunti ya Bomet. Jambo la kwanza kabisa ni kwamba uandishi wa habari ni kitu muhimu sana katika taifa lolote la kidemokrasia. Kama ilivyoandikwa katika Taarifa hili, ni jambo la kusikitisha kwamba polisi au watu waliotumwa walichukua sheria mikononi mwao na kuwapiga, kuwaumiza vibaya, kuwafurusha na kuharibu vifaa vilivyokuwa vinatumiwa kuchukua habari. Bw. Spika, mara kwa mara, shule za chekechea katika kaunti zote 47--- Wewe ulikuwa gavana na kwa hivyo unaelewa--- Kumekuwa na shida sana kujenga shule hizo. Changamoto nyingine ni kwamba walimu wa shule hizo hawatoshi kwa kuwa wakati mwingine kuna upungufu. Kwa hivyo, kuna changamoto nyingi sana katika shule za chekechea. Ni jambo la kusikitisha kwamba watu waliokwenda kuangalia kitu gani kilichokuwa kimetokea walitumiwa majangili---"
}