GET /api/v0.1/hansard/entries/1380019/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1380019,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1380019/?format=api",
    "text_counter": 199,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Bw. Spika, magavana wamepata moyo kwa vile wanapokuja hapa, mara nyingi wanaponyoka na hawapelekwi nyumbani. Wamepata moyo kwamba hata wanaweza kuwatishia wanahabari kule nje. Ninawahakikisia kwamba, atakaye kuja mara ijayo itabidi ajitahidi sana kwa sababu tuko na ari ya kuwapeleka nyumbani."
}