GET /api/v0.1/hansard/entries/1380048/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1380048,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1380048/?format=api",
"text_counter": 228,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Ripoti hii ni muhimu sana kwa sababu imeangalia kwa undani maswala yanayosababisha kuwa na gharama ya juu ya kawi ya umeme nchini. Ripoti imeguzia mambo mengi. Cha msingi ni kwamba wakati umefika kubadili"
}