GET /api/v0.1/hansard/entries/1380050/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1380050,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1380050/?format=api",
    "text_counter": 230,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "ya KPC katika kusambaza umeme nchini. Sehemu nyingi hazina umeme. Kauli mbiu ya kampuni hii ilikuwa ni umeme mashinani ila kwa sasa hakuna umeme mashinani. Kamati ya Kawi imesahau kupendekeza kuondolewa kwa monopoly ya KPC ndio wananchi wapate umeme kwa njia rahisi. Asilimia 26 ya umeme ambao KPC wananunua unapotea. Je, kampuni hii itapata faida kwenye biashara hiyo? Kama alivyozungumza Sen. Mandago, hapo kitambo tulikuwa na shirika moja la KPTC ambalo lilikuwa linauza simu na kutoa leseni ya kupeleka barua. Lakini, huduma za kampuni hii zilikuwa duni. Mabadiliko yalipokuja na ikawa kuna shirika la Communication Commission of"
}