GET /api/v0.1/hansard/entries/1380053/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1380053,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1380053/?format=api",
    "text_counter": 233,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Kutumia maporomoko ya maji kuzalisha umeme ni kama kutumia upepo kama inavyofanyika kule Turkana ambako kuna pahali pa kuzalisha umeme. Hiyo inasaidia kupunguza uchafuzi wa mazingira. Umeme kutokana na vitu asili kama vile upepo ndio tunastahili kutumia ulimwenguni. Kwa kumalizia, jua huwa linawaka katika sehemu za Pwani na kaskazini mwa nchi. Linaweza kutusaidia kutengeneza umeme, jambo ambao litasaidia kupunguza gharama za umeme katika nchi yetu ya Kenya."
}