GET /api/v0.1/hansard/entries/1380063/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1380063,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1380063/?format=api",
"text_counter": 243,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa kuwakaribisha wanafunzi kutoka Shule ya Sekondari ya Kangari iliyoko katika Kaunti ya Embu. Wako hapa kujifunza yale tunafanya hapa kama Seneti. Sisi katika Seneti huwa ni kitu kimoja. Kazi yetu kubwa ni kuangalia mambo ya ugatuzi na jinsi magavana wanavyofanya kazi katika sekta kama vile kilimo, afya na mambo mengine. Ningependa kuwakumbusha kuwa ninyi ndio viongozi wa kesho."
}