GET /api/v0.1/hansard/entries/1380065/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1380065,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1380065/?format=api",
    "text_counter": 245,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Bw. Spika, sasa ningependa kuchangia Hoja ya Seneta wa Nyeri, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kawi. Wale wasiojua, kwa miaka mingi, KPLC na KenGen zilikuwa kama kampuni moja. Wakati wa uongozi wa hayati Mzee Moi, kulikuwa na shida ambazo bado ziko hadi leo."
}