GET /api/v0.1/hansard/entries/1380066/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1380066,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1380066/?format=api",
"text_counter": 246,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Ilisemekana kuwa kazi ya mojawapo ya kampuni hizo mbili ilikuwa kutengeneza umeme. Kampuni hiyo ni KenGen. Mbeleni, KPLC ilikuwa inajulikana kama East African Power and Lighting Company (EAP&L) kabla iwe KPLC na sasa ni Kenya Power Company (KPC)."
}