GET /api/v0.1/hansard/entries/1380595/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1380595,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1380595/?format=api",
    "text_counter": 419,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": " Ahsante sana, Mhe. Spika. Nataka kumwambia Wazira kwamba kuna wakati katika taifa hili tulikuwa na Waziri wa Elimu ambaye alikua akitoka ghafla na kuingia shuleni kuangalia watoto wanakaa namna gani. Watoto wanaangushwa hata kutoka kwenye basi la skuli, wanapigwa mpaka na madereva na walimu wanawatesa ndani ya skuli. Naomba kuuliza Waziri, kama kisa cha mtoto Abdikarim ambaye amefariki juzi kimetokea, na kuna wengine ambao mpaka sasa wanayanyaswa na ametusomea kanuni na sheria ambazo ameziweka je, anafanya bidii gani kuhakikisha kwamba kanuni hizi zinafuatwa na skuli? Hadi sasa watoto wanazidi kuogopa skuli. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor"
}