GET /api/v0.1/hansard/entries/1381039/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1381039,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1381039/?format=api",
"text_counter": 194,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": "Kama Mama Kaunti wa Mombasa, ningependa kuambia Kamati ya Leba ya Seneti kuwa ninapinga Mswada huu. Sheria ni msumeno; hukata mbele na nyuma. Tukiangalia mwajiriwa, lazima pia tuangalie yule anayemuajiri. Seneti ilete sheria na kanunu nzuri ambazo tutaweza kuzipitisha, kama kuangalia kwamba haki za wafanyikazi zinafuatiliwa. Hii ni kwa sababu kuna watu ambao wameajiriwa katika contract ya mwezi mmoja ilhali wamekuwa katika ajira kwa miaka 10. Vitu kama hivyo ndio tunataka Kamati ya Leba iweze kutuletea ili The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor"
}