GET /api/v0.1/hansard/entries/1381043/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1381043,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1381043/?format=api",
    "text_counter": 198,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": "nyingi kule. Ninataka nichukue fursa hii nishukuru kampuni ya EPZ ya Mombasa kwa sababu kulikuwa na matatizo, lakini tumekaa nao na kusuluhisha. Wafanyikazi wataangaliwa vizuri. Ujumbe wangu kwa wafanyikazi wa EPZ Mombasa ni kwamba waangalie kazi yao ndio tusifunge kampuni. Kenya inahitaji kujengwa na watu kama hao. Mambo yenu yameangaliwa vizuri. Ni jukumu lenu sasa kuangalia target za kazi ambazo mmepewa. Mfanye kazi kwa uadilifu ili kampuni zetu ziweze kuendelea vizuri."
}