GET /api/v0.1/hansard/entries/138142/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 138142,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/138142/?format=api",
"text_counter": 590,
"type": "speech",
"speaker_name": "Dr. Shaban",
"speaker_title": "The Minister of State for Special Programmes",
"speaker": {
"id": 139,
"legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
"slug": "naomi-shaban"
},
"content": "Bi Naibu Spika wa Muda, sisi Wakenya tunakata kuwachia Serikali jukumu la kusafisha mazingira yetu. Jukumu hili sio la Waziri peke yake na wafanyakazi wake na Serikali. Ni jukumu la wananchi wote wa Kenya. Ni lazima tuwe na makusudio ya kuwa na mazingira mazuri."
}