GET /api/v0.1/hansard/entries/138143/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 138143,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/138143/?format=api",
    "text_counter": 591,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Dr. Shaban",
    "speaker_title": "The Minister of State for Special Programmes",
    "speaker": {
        "id": 139,
        "legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
        "slug": "naomi-shaban"
    },
    "content": "Vile vile, ningependa kuzungumzia juu ya swala la madini nchini. Madina haya ni rasilimali ambayo Mwenyezi Mungu ametupatia nchini Kenya. Madini haya yanatakikana kuweza kusaidia wenyeji wa maeneo hayo na Serikali kwa ujumla. Jambo la kusikitisha ni kuwa tumeona mara kwa mara watu wakitajirika na madini hayo."
}