GET /api/v0.1/hansard/entries/138145/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 138145,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/138145/?format=api",
"text_counter": 593,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Serikali wala wananchi ambao ni wenyeji wa mahali pale hawapati chochote. Umefika wakati ambao tunafaa tuangalie sheria zetu ili tuweza kuzirekebisha ili wananchi na Serikali ifaidike kutokana na rasilimali hii ambayo Mwenyezi Mungu ametupatia."
}