GET /api/v0.1/hansard/entries/138148/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 138148,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/138148/?format=api",
    "text_counter": 596,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Wakenya wengi wanatumia makaa kupikia kwa sababu hali imekuwa duni. Pesa na chakula hazipo na matatizo ni mengi. Lakini tukitengeneza mazingira ili kuwe na maji ya kutosha, watu watapata chakula cha kutosha na kuweza kutumia njia na mbinu mpya za kupikia ili tuwache kuharibu miti yetu."
}