GET /api/v0.1/hansard/entries/138149/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 138149,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/138149/?format=api",
"text_counter": 597,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Bi Naibu Spika wa Muda, maswala hayo yote hayatawezekana kama pesa hazitoshi. Waziri Michuki amepewa pesa kidogo mno. Ingefaa apewe pesa za kutosha ili aweze kuchapa kazi. Nataka kumpongeza kwa kazi nzuri aliyoifanya isipokuwa bado kuna kazi kubwa sana ya kufanywa."
}