GET /api/v0.1/hansard/entries/1381897/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1381897,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1381897/?format=api",
    "text_counter": 67,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Sifuna",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13599,
        "legal_name": "Sifuna Edwin Watenya",
        "slug": "sifuna-edwin-watenya"
    },
    "content": "Bw. Spika, nilikuwa nimekinoa Kiswahili changu kwa ajili ya ujio wa Waziri Aisha Jumwa ili tuweze kupatana moja kwa moja. Kwa hivyo, utaniruhusu nizungumze Kiswahili hicho ili kisiende bure hata kama hajafika."
}