GET /api/v0.1/hansard/entries/1381909/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1381909,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1381909/?format=api",
    "text_counter": 79,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Sifuna",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13599,
        "legal_name": "Sifuna Edwin Watenya",
        "slug": "sifuna-edwin-watenya"
    },
    "content": "Dakika moja tu nimalize. Kitu nilichokuwa nataka kiibuke wazi ni kwamba Mawaziri hawa wanapata nafasi ya kufanya mambo mengine lakini shughuli ya Seneti hawazipatii kipaumbele. Alikuwepo kwenye mazishi. Nimetoka kwenye stesheni ya radio ya Kenya Broadcasting Cooperation (KBC) na wakaniambia walikuwa naye jana katika kituo hicho. Kama anapata nafasi ya kuhudhuria mazishi na kuwakemea viongozi wengine na pia kwenda katika vyombo vya habari, kwa nini asije hapa na sisi tupate fursa ya kuzungumza naye? The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services, Senate."
}