GET /api/v0.1/hansard/entries/1381910/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1381910,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1381910/?format=api",
"text_counter": 80,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Sifuna",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13599,
"legal_name": "Sifuna Edwin Watenya",
"slug": "sifuna-edwin-watenya"
},
"content": "Sen. Gloria Orwoba wiki iliyopita alitukemea sana, haswa viongozi wa vyama ambao walishiriki katika Kamati ya Maridhiano ya Kitaifa iliyokuwepo. Aliteta kwamba tuliwacha masuala ya akina mama nyuma. Nilikuwa nataka Bi.Waziri aje hapa adhihirishe kwamba sio kwa kukosa kuwasilisha hoja zetu kama viongozi wa Orange Democratic Movement (ODM ) bali kuna masuala ambayo yalikuwa yanafanyika ndani ya Wizara yake. Kwa hivyo, ni yeye pekee alikuwa anaweza kuniondoa kwa mtego uliokuwa umetegwa na Mhe. Gloria lakini sasa hayupo hapa. Kwa hivyo, mimi ninakemea vikali kukosa kuja mbele ya Bunge kwa Mhe. Aisha Jumwa, haswa kwa sababu wenzake wengine walikuwa na ile courtes y ya kuandika barua kwa Spika---"
}