GET /api/v0.1/hansard/entries/1381916/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1381916,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1381916/?format=api",
"text_counter": 86,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Sifuna",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13599,
"legal_name": "Sifuna Edwin Watenya",
"slug": "sifuna-edwin-watenya"
},
"content": "Wakaandika barua kujulisha Wabunge kwamba hawangefika. Bw. Spika, nataka nikuombe ombi moja tu. Wakati tulipokuwa katika mkutano wa SBC, niliuliza swali hilo. Je, kuna njia gani ya kuwajulisha wale ambao wameuliza Maswali mapema kwamba hayatapata kujibiwa kwa sababu Waziri ameandika barua? Nilielezwa kwamba kutakuwa na ugumu kwa sababu wenzetu hawa wakiambiwa kwamba Waziri hatakuja, nao pia hawatakuja. Tungependa Mhe. Kathuri Murungi apambane na hali yake kule Ngong Road afike hapa hata kama Waziri hayuko tuweze---"
}